nickson1987
Senior Member
- Aug 16, 2011
- 191
- 24
Asante sana ila u never know what's a contentMsiwe mnanunua magari kwa kuiga. Ona Sasa umeshindwa ku feed unaamua kukodisha
Nikodishe nikuletee hesabuHabari?
Kama kuna mwenye kuhitaji gari la sherehe au kwa ajili kuwapeleka watoto na asubuhi wafanyakazi kuwatoa majumbani na kuwapeleka ofisini kama posta au Kariakoo.
Tuwasiliane kwa namba 0686 055680
Mimi ndio bosi mwenyewe naitumia kwa ajili ya ubber, ila zikitokea kwa safar ndefu naenda au kukodisha kuwendesha wageni bei ni nafuuNikodishe nikuletee hesabu
kuna gari za hesabu sikuhizi?Nikodishe nikuletee hesabu
Aliyoyataja hapo siyo matumizi ya gari?Msiwe mnanunua magari kwa kuiga. Ona Sasa umeshindwa ku feed unaamua kukodisha
Nilijua anamiliki bus kumbe uber aisee..kuna gari za hesabu sikuhizi?
Nilidhani una bus like coasterMimi ndio bosi mwenyewe naitumia kwa ajili ya ubber, ila zikitokea kwa safar ndefu naenda au kukodisha kuwendesha wageni bei ni nafuu
Yeah kama Costa hesabu shillings ngapi hesabuNilidhani una bus like coaster
100k -120kYeah kama Costa hesabu shillings ngapi hesabu
Ok nimekusoma tutawasiliana100k -120k
Habari?
Kama kuna mwenye kuhitaji gari la sherehe au kwa ajili kuwapeleka watoto na asubuhi wafanyakazi kuwatoa majumbani na kuwapeleka ofisini kama posta au Kariakoo.
Tuwasiliane kwa namba 0686 055680
🤝🤝Ok nimekusoma tutawasiliana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu ni gari ya aina gani au li lipi kat ya haya mawili?
View attachment 1585439 View attachment 1585442