Umeshachoka kutumia pesa nyingi kwa mafundi wasiotoa suluhisho la kudumu? Karibu
Jerry Spare Parts and Services – mahali ambapo gari lako linarejeshwa katika hali bora kwa huduma za kitaalamu, vipuri halisi, na uaminifu wa hali ya juu.
Tunapatikana Mikocheni - Victoria, Dar es Salaam, pamoja na matawi mengine katika
Dodoma, Kahama, Arusha na Mwanza. Popote ulipo, huduma bora ni karibu yako.
🛠️ Tunatoa huduma za
garage kamili, zikiwemo:
- Computer diagnosis (kujua tatizo halisi la gari lako)
- Marekebisho ya engine
- Brake system repair & suspension
- Oil & filter service
- Battery check & replacement
- A/C fixing
- Gearbox service, na nyingine nyingi.
Unapokuja Jerry Garage, unapata
mafundi waaminifu,
vipuri original, na
bei nafuu bila bugudha. Huduma zetu zimeboreshwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa ili kuhakikisha
matatizo ya gari yanatatuliwa kwa haraka na kwa usahihi.
OFAYETU YA MWEZI HUU: Fanya huduma yoyote katika garage zetu,
upate car Check BURE kabisa kwa wateja waliowahi kuhudumiwa na jerry spare Pia kuna
discount maalum kwa oil service – usikose!
Wasiliana nasi sasa kwa:
0715 666 655
📸 Tembelea ukurasa wetu wa Instagram:
@255jerry kuona kazi zetu na ushuhuda wa wateja wetu.