Haya magari si kwamba hayapo, yapo mengi tu, UK, Ujerumani na nchi za Asia ya mbali Kwa maana mashariki ya mbali. Lakini wakubwa wa hii dunia waliomiliki visima vya mafuta, wapo underground, kutofanikisha hayo magari kuenea kwa wingi na hata yakiwezeshwa basi huwa ghali na hata utunzaji wake ni gharama, ili wao waendelee kunufaika na uuzaji wa mafuta.[/QUOT
Truer!