Narejea tena kutafuta gari la kununua. Mara hii ni kwa ajili ya jamaa yangu .
Amependa jinsi nilivyotumia JF kupata gari zuri tena kwa bei nzuri,mpaka leo nadunda nalo safiiiiii.
Sasa jamaa yangu huyu amenikabidhi 4.7 M tasilimu. Anasaka gari.si unajua foleni ya dar jamani na kash kash ya ma DCM.
Mwenye nalo aweke hapa specification zake .
Aina ya gari na mwaka ni yoyote iliyo katika hali nzuri. Wenye mawazo ya kukatisha watu tama a.k.a MICHEPUKO ,wakae kando
ANGALIZO Itakaguliwa na wajuzi wa magari kabla ya kukupatia fedha
Karibu