Gari la TBL lapata ajali Tabata

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wakuu

Taarifa za hivi punde zinasema kuwa gari la kampuni ya vinywaji TBL likiwa katika safari zake limepata ajali maeneo ya Tabata Jijini Dar es salaam.

Hakuna taarifa zozote za wahanga wa ajali hiyo hadi sasa. Hata hivyo baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wameonekana wakijipatia vinywaji vya bure.
Tutawaletea mrejesho zaidi.

Aksanteni.
 
Barabara mbovu chini ya usimamizi wa ccm lazima ajali zitokee za kutosha
 
Nakuja nikaokote balimi niweke kwenye jokofu jioni nijisevie na mchepuko wangu make umeniahidi unakuja.
 
Habari njema kwa wanywaji huenda bia za bure zikapatikana
 
Kwahyo viwanja vya tabata leo jpili walevi huduma itakuwa ya kusuasua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…