Gari la Polisi msafara wa Waziri Mkuu lapata ajali

Gari la Polisi msafara wa Waziri Mkuu lapata ajali

.......Daah! Gari imeharibika sana? Naionea huruma serikali itakuwa imepata hasara kwa ajili ya matengenezo ya gari lol!!!. Hao Polisi waache tu wafage zao, hawana msaada sana!
 
Wasiokua na mahusiano mazuri na polisi ni watenda maovu ila wanaojitambua na kutambua umuhimu wa polisi hawez kutukana polisi wakati hapo alipo analindwa na polisi ni vikra ndogo na ushabiki wa siasa usio na fikra yakinifu ndio unaomsababisha mtu kusahau taratibu za nchi na kuanza kulaumu laumu tu na mtu wa hivi hata mkewe anamshinda sasa hata kujua kua waliopata ajali ni viumbe wenzao hamna hii ni shida kabisa na kwa kua chadema haitashika dola kamwe kwa tanzania sbb tanzania ina makabila mengi sio wachaga tu na pia tanzania haina wakristo tu ina dini kuu mbili na pia kwa kua watanzania sio wajinga kutawaliwa na chama cha ukooo mtapigwa sana sbb hamjielewi
 
what is this,,,,,you cannot fool all the people and all the the time
 
Siwapendi polisi. Ndugu yangu akiingia polisi labda nisiwe na taarifa.
 
laana hizo za watanzania
Kweli kabisa mkuu. Askari wetu ni kama wamefundishwa kupiga raia tu. Bora hata huyo kiongozi wao aliyeawapa amri ya kupiga raia bila kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria ndiye angepata ajali tena ingengekuwa vyema kama angevunjika mdomo kabisa au upinde kabisa kama lilivyo jina lake!
 
Hizi siasa zimetufikisha hapa watanzania mpaka mtu unafrahia kifo cha mwenzako . Vipi Mungu akikusikia akamchukua baba yako napo utafrahia na kufanya sherehe? Hivi hiyo ni akili yako au

Mdau hapa tunazungumzia msafara wa waziri kilio Pinda,maswala ya baba yanahusika vpi hapa?,lakini kama baba yangu angekuwa ccm alafu akawa anafanya ufisadi mfano ni huyu pinda ndo dingi yangu mimi nakubali "AFE TU".mimi ni mtanganyika halisi narudia tena "AFE TU".
 
Hizi siasa zimetufikisha hapa watanzania mpaka mtu unafrahia kifo cha mwenzako . Vipi Mungu akikusikia akamchukua baba yako napo utafrahia na kufanya sherehe? Hivi hiyo ni akili yako au

Kutukana ingekuwa inaruhusiwa ningeking'oa kiungo kimoja nyeti na kukubandi katikati ya paji la uso wako uipate fresh!!! Yaani polisi ni wenzetu!!?!?!?
 
Wasiokua na mahusiano mazuri na polisi ni watenda maovu ila wanaojitambua na kutambua umuhimu wa polisi hawez kutukana polisi wakati hapo alipo analindwa na polisi ni vikra ndogo na ushabiki wa siasa usio na fikra yakinifu ndio unaomsababisha mtu kusahau taratibu za nchi na kuanza kulaumu laumu tu na mtu wa hivi hata mkewe anamshinda sasa hata kujua kua waliopata ajali ni viumbe wenzao hamna hii ni shida kabisa na kwa kua chadema haitashika dola kamwe kwa tanzania sbb tanzania ina makabila mengi sio wachaga tu na pia tanzania haina wakristo tu ina dini kuu mbili na pia kwa kua watanzania sio wajinga kutawaliwa na chama cha ukwooo mtapigwa sana sbb hamjielewi

Kioga kweli umeioga polccm,unamdanganya nani wanamsahada gani hawa majambazi tu,juzi kimara madukani majambazi wanaiba na kumpiga risasi jamaa mmoja na kituo cha polisi kipo umbali wa kama mita tatu tena wameuchuna kaunta kimya ungepta ungezani nao ni kina Mangi wanauza duka kumbe nipolisi wapo kituoni.Hawana msahada.
 
Wasiokua na mahusiano mazuri na polisi ni watenda maovu ila wanaojitambua na kutambua umuhimu wa polisi hawez kutukana polisi wakati hapo alipo analindwa na polisi ni vikra ndogo na ushabiki wa siasa usio na fikra yakinifu ndio unaomsababisha mtu kusahau taratibu za nchi na kuanza kulaumu laumu tu na mtu wa hivi hata mkewe anamshinda sasa hata kujua kua waliopata ajali ni viumbe wenzao hamna hii ni shida kabisa na kwa kua chadema haitashika dola kamwe kwa tanzania sbb tanzania ina makabila mengi sio wachaga tu na pia tanzania haina wakristo tu ina dini kuu mbili na pia kwa kua watanzania sio wajinga kutawaliwa na chama cha ukooo mtapigwa sana sbb hamjielewi

ulianza vizuri umeharibu mwishoni unaposema wapigwe tu kwani hao sio binadamu?maana ni haohao unaosema wapigwe tu ndio ndugu na hao polisi.poleni maafande wetu mliopata ajali mungu awaponye haraka muendelee na majukumu yenu ya kia siku
 
kilichonisikitisha, Pinda wala hakujali akaenda zake huyooo
 
Back
Top Bottom