Gari la Polisi msafara wa Waziri Mkuu lapata ajali

Gari la Polisi msafara wa Waziri Mkuu lapata ajali

Idimulwa

Platinum Member
Joined
May 27, 2011
Posts
6,205
Reaction score
5,273
Ni huko Mbeya ambako waziri mkuu Mizengo Pinda anaendelea na ziara.

Askari wa nne wamejeruhiwa vibaya...hakuna kifo.

ITV Habari za saa
 
Haana faida na sisi wafe tu mbona wanaua raia kama sisimizi
 
Ndio akili za chadema wengi hizo waka usishangae

Mkuu wala sio chadema au ccm kiufupi saiv polic saiv hawana cha ccm wala cuf,kwan walippgwa hko iringa wote walikuwa chadema?!!,watu tu kwa sasa hawana mahusiano mazr na polic
 
Heri wangekufa maana tumechoka na kiherehere chao kusindikiza anayeshabikia upigaji huku akijifanya kuwalilia wenye albinism kwa maneno bila matendo.

Pamoja na hayo mkuu. hivi kwani polisi wanatoka wapi??
 
Mzee alitaka kuwafanya police kafara

swissme
 
tumechoka kwa kweli, hatuna namna wajeruhiwe tu
 
Ungesubiri kwanza ujue ni nani waliohusika kwny hiyo ajali.

Unaweza kusema hivyo kumbe kuna mtu wako wa karibu sana amehusika humo kwny ajali🙄

kama ni POLISI CCM wangekufa tu. hawana maana kazi kubambikia watu kesi. kwanza wangekufa msafara mzima tu.
 
Heri wangekufa maana tumechoka na kiherehere chao kusindikiza anayeshabikia upigaji huku akijifanya kuwalilia wenye albinism kwa maneno bila matendo.

Hizi siasa zimetufikisha hapa watanzania mpaka mtu unafrahia kifo cha mwenzako . Vipi Mungu akikusikia akamchukua baba yako napo utafrahia na kufanya sherehe? Hivi hiyo ni akili yako au
 
Back
Top Bottom