Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Akiwa anaekekea nyumbani kwake Mbunge Wa Arusha Mjini Mhe. Godbles Lema ameshambuliea na vijana wa uvccm maeneo ya clock Tower,..kuna watu wameumia katika tukio hilo ambalo vijana wa ccm walimvamia lema wakiwa na mashoka, panga na mipini..
===============

Chanzo: Nipashe
 
Akiwa anaekekea nyumbani kwake Mbunge Wa Arusha Mjini Mhe. Godbles Lema ameshambuliea na vijana wa uvccm maeneo ya clock Tower,..kuna watu wameumia katika tukio hilo ambalo vijana wa ccm walimvamia lema wakiwa na mashoka, panga na mipini..

Naona wamechokoza sehemu isiyo sahihi ole wao naona wamebep ngoja tuwapigie.
 
Akiwa anaekekea nyumbani kwake Mbunge Wa Arusha Mjini Mhe. Godbles Lema ameshambuliea na vijana wa uvccm maeneo ya clock Tower,..kuna watu wameumia katika tukio hilo ambalo vijana wa ccm walimvamia lema wakiwa na mashoka, panga na mipini..
Tafadhali sana mkuu. Taarifa yako haijakamilika ipasavyo. Hebu toa taarifa kwa kina na mapana yake mkuu ili tuelewe kwa nini wapuuzi hao wamefanya hivyo.
 
Hii inaonyesha CCM hawako tayari kukubali kushindwa. Itabidi tujiandae vilivyo mwakani.
 
Wakuu,

Taarifa za muda huu ni kwamba CCM wamevamia gari la Mh. Mbunge wa Arusha mjini maeneo ya Clock Tower wakati anaelekea nyumbani kwake njiro.
Wakati anapita Mnara wa saa, ghafla wakatokea maccm yakiwa na watu wenye sura ngumu kama banyamulenge, wakaanza kushambulia gari la mbunge huku wakimweleza kwamba wewe ndiye nuksi hapa Arusha, lazima tukukomeshe. Bahati nzuri wakatokea wananchi wazalendo wakaanza kuwashambulia hao banyamulenge wakakimbia zao.

Hivi sasa Mh Lema anaandika maelezo polisi
 
Amewazidi wezi wenzake mgao wameamua kuzaa naye
 
Akiwa anaekekea nyumbani kwake Mbunge Wa Arusha Mjini Mhe. Godbles Lema ameshambuliea na vijana wa uvccm maeneo ya clock Tower,..kuna watu wameumia katika tukio hilo ambalo vijana wa ccm walimvamia lema wakiwa na mashoka, panga na mipini..

Nani amshambulie jambazi mkongwe kiasi hicho! hao ni wezi wenzake amewa stage ili kujipa promo baada ya kugundua wana A.Town wamemstukia na wanataka kumtosa ubunge kwa kuwadanganya mambo mengi na yote kuishia kwenye maandamano yanayokosesha wananchi vipato kwa vurugu na kupora mali.
 
Akiwa anaekekea nyumbani kwake Mbunge Wa Arusha Mjini Mhe. Godbles Lema ameshambuliea na vijana wa uvccm maeneo ya clock Tower,..kuna watu wameumia katika tukio hilo ambalo vijana wa ccm walimvamia lema wakiwa na mashoka, panga na mipini..
Kwanini usingetumia kichwa kufikiri ili uandike kitu cha kueleweka. Hebu proof read ujikosoe kabla hatujakukosoa mana tutakupopoa mawe
 
Hao ccm wametoka wapi?si mlisema ccm imefutwa kabisa arusha,nyie muulizeni vizuri amemdhulumu nani.
 
nikiwa ofisini karibu na kitu cha mafuta cha oryx clock tower nimesikia milio ya risasi waliokuwepo ni mbunge lema na wafusi wa ccm,watu hawa wa ccm walikua na marungu, kama kuna mwenye taarifa zaidi atusaidie!!
 
lema si nuksi nuksi ni wez ndan ya chama chenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…