Poleni kwa shughuli za kujenga Taifa wana jamvi.
Nipo Arusha nahitaji gari la kukodisha kwa siku moja(jumamosi jioni hadi jumapili mchana 17-18 may 2014)
kama unatoa huduma hii au unaweza nisaidia kwa information yoyote naomba nitafute PM au weka hapa jamvini.
naomba kupewa vigezo na masharti ya kupewa huduma hii....
ahasante.