Wakuu amani na iwe kwenu.
Naomba kupewa connection ya gari la kukodi mbeya kwa siku mbili au zaidi kwa mizunguko ya hapo mjini. Pia kuna uwezekano wa kufanya safari za nje ya mji kidogo. Gari liwe katika hali nzuri na budget iwe nzuri pia. Gari linahitajika kuanzia leo.
Natanguliza Shukrani.