Gari la JWTZ laua askari polisi

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Kuna habari tulizozipata hivi punde kwamba kwenye makutano ya barabara ya Nyerere na Kawawa gari la JWTZ limegonga gari ya askari polisi na kujeri baadhi na 1 kufa papo hapo sababu ni mwendo kasi na ubabe wa JWTZ, juhudi zakuwapata bado zinaaedndelea ila wamekimbilia pasipojulikana.

ndio jeshi letu hilo.....wenye nazo zaidi twende kazi.
 
Hao JWTZ tushawazoea,mara wamempiga traffic,mara wamehusika kwenye ujambazi...Ukute hata kumgonga huyo polisi ni makusudi tu...Sasa kwa nini wamekimbia kama wao ni jeshi la kujenga taifa?Wajisalimishe kama vipi na wachukuliwe hatua inayostahili...!
 
tupate ukweli kwanza wa hiyo habari ndo tunaweza kukoment vizuri oyherwise tunaweza kuwahukumu JWTZ askari bure
 
kua na uhakika kwanza

Uhakika gani? picha? subiri endapo zitatoka kwenye vyombo vingine vya habari au ulizia cental polisi wamefikia wapi na hao wanajeshi walioua mwenzao.
 
Back
Top Bottom