Ok,
Nenda Mwenge opposite na kwa Kakobe au Tabata Matumbi kwa JAN JAPAN ndo wauzaji wa gari za bei rahisi, yupo jamaa yangu mmoja alishawahi kununua pale mpaka kwa 3.5Mil. Ubora sina uhakika nao.
Transporter naomba uweke picha hapa tafadhali. Wengine tuna mzuka sana na magari manual. Tafadhali kama vipi weka picha niongeze interest tafadhali. Nasubiria mzazi. Muhimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu