Wakuu naombeni msaada nifanye Nini kuondoa mis kwenye gari ya Suzuki Swift old model 2001 ilianza baada ya kuosha engine.
Fundi amenishauri nibadilishe plug, pump lakini bado mis ipo vilevile.
Naombeni ushauri wakuu
Hapo ndio hua mnazingua,Nina miaka mingi barabarani na sijawahi kuosha engine hata siku 1 zaidi kuipiga upepo tu na sijawahi kupata tatizo hata 1 kisa engine haijasafishwa.

Mwambie fundi wako atoe ig coil zote kisha zipigwe upepo coz inawezekana zilipata maji pemben kule kpnd mnaosha engine. Ig coil hata zikiwa na matone ya mafuta au kimiminika chochote huwa inasababisha mis sometimes.