Gari kusoma 175km toka 156,500

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,102
114,700
Hii Ipsum mara ya mwisho natazamani km ilikuwa inasoma kama 156,500 ivi,ajabu asubuhi ya leo inasoma 175 ila juu inaonyesha Triple A. Msaada wadau,kuna tatizo gani hapo
 
Apo inasoma trip ulizotembea,bonyeza kitufe kipo hapo kwenye dash iyo ya speed uchange isome km,
 
hahahaha mkuuu hold kuna kama kijistik cheusi toka ndani ya cluster itazifuta hizo namba na kuwa 0 na ukibonya tena itakuja kwenye trip B ukibonya tena itakuja kwenye km ambazo unazitaka ww
 
Usinunue gari kama hujui.. Sawa na kununua bastora na kushindwa kuitumia.
 
Hii Ipsum mara ya mwisho natazamani km ilikuwa inasoma kama 156,500 ivi,ajabu asubuhi ya leo inasoma 175 ila juu inaonyesha Triple A. Msaada wadau,kuna tatizo gani hapo
Mimi nina gari aina ya IST, imefuta speedometer toma 98720 Km na kuanza 0. Hivi sasa ina Km 754. Namaanisha imefuta/imereset odometer na siyo trip A au tripB. Naomba kufahamu nini kinaweza kuwa chanzo?
 
Gari zingine, Anti-Lock Braking system ambayo ikipata erro, siyo tu haionyeshi distance cover tangu gari itembee, bali hata Speed inakua ni zero. Hivyo check na wataalam wa Sensors za ABS kuona kama kuna hitilafu. Na kwa IST ina tatizo hilo, hasa kama umeweka bush xa dukan ambazo sensor ya ABS haigusi sawasawa. Check na fundi akague sensor za ABS kwanza na pia kama brush ya ABS inagusa vizuri sensor!
 
Back
Top Bottom