Gari kukosa balance tairi za mbele

chichi pilato

Senior Member
May 26, 2019
132
97
Gari yangu nikiwa road inaonesha kuchezacheza sana tairi za mbele na kupelekea gari kukosa balance kabisa tatizo ni nini?
 
hujataja ni gari gani (inavuta mbele au kusukuma toka nyuma?)
fundi aangali
tie-road-end
ball-joint
civo-joint
drive shaft
 
Back
Top Bottom