Gari kuchemsha baada ya kuwasha A.C. sababu ni nini?

Unaweza elezea kidogo hili?Naona ndo inaweza kuwa ndo tatizo?
Anza na fen,Kama zipo mbili moja ni ya engine na nyingine ni ya AC,Kama IPO moja check kwanza joti la gari likiwa chini inazunguka?joti likipanda inazunguka?ukiwasha AC inazunguka au inasimama?

Kama fen iko poa check radiator,haivuji?njia zake hazijaziba?horse pipe hazijatoboka?

Ukimaliza hapo Sasa utakua Kama ni tatizo la Muda mrefu kila ukiwasha AC inachemsha gaskets itakua byebye.
 
Compressor imekufa inagoma kuzunguka au kuzunguka kwa taabu

Badilisha A/C compressor problem solved
Ukiwasha A/C compressor inabana ili kufua a.c so kama inastaki gari lazima iwe nzito na kuchemkaView attachment 1687608
Angepata harufu ya fan belts , ac compressor iki jam belts ndo Inakuwa za kwanza kuumia, mine ziliwahi nisababishia moto baada ya ac compressor ku jam
My best bet kwa tatizo lake itakuwa ni head gasket.
 
Ni gari yangu aina ya Clavia Vitz,mara nyingi mida ya mchana joto likiwa kali,nikiwasha A.C gari ina nguruma zaidi then baadaye naona alama kwenye dash board kuonyesha injini imechemka.Nini shida hapo???
Niliwahi kupata changamoto hii kwenye gari dogo la Toyota. Kabla ya hapo, injini ilikuwa imefanyiwa overhaul. Baada ya matengenezo, hilo tatizo likaanza.

Baada ya mafundi wa injini kushindwa, akaitwa fundi wa umeme. Akawasha AC na kuzunguka na gari, joto likaanza kupata. Akagundua kuwa ile feni ya kupoza injini, ambayo ina mizunguko miwili, mmoja kwa ajili ya AC, na wa pili kwa ajili ya kupoza injini ilikuwa haifanyi kazi vizuri.

Feni ilikuwa inazunguka kupoza AC tu. Inafeli kwenye kuongeza kasi kupoza injini. Na tatizo lilikuwa kwenye switch ya kubadili huo mizunguko. Baada ya kubadili switch, huu ni mwaka wa 3, sijaona tena hilo tatizo.
 
Angepata harufu ya fan belts , ac compressor iki jam belts ndo Inakuwa za kwanza kuumia, mine ziliwahi nisababishia moto baada ya ac compressor ku jam
My best bet kwa tatizo lake itakuwa ni head gasket.
Gasket head ina uhusiano ganj na A/C
 
Angepata harufu ya fan belts , ac compressor iki jam belts ndo Inakuwa za kwanza kuumia, mine ziliwahi nisababishia moto baada ya ac compressor ku jam
My best bet kwa tatizo lake itakuwa ni head gasket.

Gasket imefanyaje? na implication yake ni nini??
 
Gasket imefanyaje? na implication yake ni nini??
Cylinder head gasket ikiungua gani inakua inachemsha ukitembea umbali flani.

Mtoa mada kaswma gari inachemsha akiwasha A/C ao tatizo lake halihusiani na cylinder head gasket ila ni a.c compressor inazunguka kwa shida hivyo kyoelekea injini.kutumia nguvu kubwa kuzunguka ndio maana inachemka.

Ingekuwa cylinder head gasket ingechemsha hata bila kuwasha .A.C
 
Sawa sawa mkuu
 
Wadau mimi nina spacio new model ya mwaka 2004, cc 1490. Naomba kwa mwenye kufahamu anisaidie kujua inaingia lita ngap za transmission fluid. Mafundi wetu wa mtaani wananichanganya sana. Naomba msaada kabla sija ua kabisa gear box ya gari yangu

Leta chasis number usaidiwe
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom