O owino Member Joined Dec 21, 2012 Posts 34 Reaction score 14 Jan 29, 2016 #1 IST ambayo bado ipo Kwenye hari nzuri inatafutwa offer 7m-7.5m kama unayo ni PM
Borat69 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,522 Reaction score 1,761 Jan 29, 2016 #2 IST ndio nini mkuu!? International School of Tanganyika.... Institute of Satans Tanzania!!????
Borat69 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,522 Reaction score 1,761 Jan 29, 2016 #4 owino said: Gari Click to expand... Ungerekebisha mpaka bandiko la ndani pia. Maana sio kila mtu atajua kwamba IST ni gari mkuu.
owino said: Gari Click to expand... Ungerekebisha mpaka bandiko la ndani pia. Maana sio kila mtu atajua kwamba IST ni gari mkuu.
lidoda JF-Expert Member Joined Apr 27, 2008 Posts 641 Reaction score 576 Jan 29, 2016 #5 owino said: IST ambayo bado ipo Kwenye hari nzuri inatafutwa offer 7m-7.5m kama unayo ni PM Click to expand... Mbona hujaandika ni ya mwaka gani, au rangi gani, imesajiliwa au haijasajiliwa...imeibiwa wapi nk
owino said: IST ambayo bado ipo Kwenye hari nzuri inatafutwa offer 7m-7.5m kama unayo ni PM Click to expand... Mbona hujaandika ni ya mwaka gani, au rangi gani, imesajiliwa au haijasajiliwa...imeibiwa wapi nk
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,996 Reaction score 132,367 Jan 29, 2016 #6 We we ni mnunuzi au ni mtu wa Kati?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,996 Reaction score 132,367 Jan 29, 2016 #8 Unachagua #
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,996 Reaction score 132,367 Jan 29, 2016 #9 Ni inbox namba yako nkupe anataka nkupe namba ya jamaa yangu anayo ist ya mwaka 2003,km 98000,tangu dark blue...gari iko dar...anaiuza
Ni inbox namba yako nkupe anataka nkupe namba ya jamaa yangu anayo ist ya mwaka 2003,km 98000,tangu dark blue...gari iko dar...anaiuza