Mr Global Senior Member Nov 9, 2013 150 123 Mar 17, 2016 #5 na kama speed ni sawa bas A ndio ataanza kupita kw kufuata sheria za barabaran
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Mar 17, 2016 Thread starter #11 C itakua ya mwisho!
NDAMANDOO JF-Expert Member May 10, 2012 254 126 Mar 17, 2016 #12 A itaanza hii ni kufuatia sheria za barabarani C na B haziingiliani wala hazitegemeani ila zote zinategemea gari A. C na B ndio zitakuwaza mwisho.
A itaanza hii ni kufuatia sheria za barabarani C na B haziingiliani wala hazitegemeani ila zote zinategemea gari A. C na B ndio zitakuwaza mwisho.
Kinyerezi JF-Expert Member Jan 28, 2009 486 149 Mar 17, 2016 #13 C wa mwisho, lazima kwanza awaache walio barabara kuu wapite.
wa hapa hapa JF-Expert Member Aug 20, 2014 285 150 Mar 17, 2016 #14 Wapite kwa umakini mkubwa sana,mana madereva wa siku hizi hawaeleki kabisa.