Gari inauzwa

Gari inauzwa

Moudy Boka

Senior Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
103
Reaction score
32
Manufacture year:2001
Automatic transmission
Engine capacity:2360
Fuel😛etrol
Model number:ACM 26/Toyota Ipsum
First user in Tanzania

Price:11.5million

Simu:0752393150 Dar es Salaam
 
Attachments

  • g6.jpg
    g6.jpg
    39.9 KB · Views: 246
  • g5.jpg
    g5.jpg
    31.1 KB · Views: 215
  • g4.jpg
    g4.jpg
    57.2 KB · Views: 221
  • g3.jpg
    g3.jpg
    37.8 KB · Views: 214
  • g2.jpg
    g2.jpg
    44.3 KB · Views: 219
  • gi.jpg
    gi.jpg
    40.4 KB · Views: 237
Moudy Boka

yaani unafikiri kuna mtu atakurupuka kununua ilo gari kama haujasema ni Gari gani,condition iko je(zima au ni for spare parts),limetembea umbali gani,Engine iko je?Bei yake ni ipi?
Contacts za simu kwa issue serious kama hizi ni muhimu maana wengine kwenye mamilioni hatuwezi kudeal kwa PM

Kama upo serious modify tangazo lako faster
 
kuwa serios hizo details zinakuja baada ya muda gan...
 
Moudy Boka

yaani unafikiri kuna mtu atakurupuka kununua ilo gari kama haujasema ni Gari gani,condition iko je(zima au ni for spare parts),limetembea umbali gani,Engine iko je?Bei yake ni ipi?
Contacts za simu kwa issue serious kama hizi ni muhimu maana wengine kwenye mamilioni hatuwezi kudeal kwa PM

Kama upo serious modify tangazo lako faster

Mkuu details zipo tayari ukiridhika nitafute tufanye biashara.
 
unaweka mapicha ya ndani wakati watu wanataka kuona body pia...hakatwi mtu hapa!!unataka kuuza mbuzi kwenye gunia.
 
unaweka mapicha ya ndani wakati watu wanataka kuona body pia...hakatwi mtu hapa!!unataka kuuza mbuzi kwenye gunia.

Kaka moja ya picha inaonesha bodi(g6),halafu kwenye gunia utauuziwaje wakati gari unakuja kuichek na kuikagua,au unafikiri tupo Japan? Sometimes atleast kuwa reasonable sio unafunguka tu ili uonekane nawe upo JF. Halafu jitahd kujipa jina zuri angalau Mungu akuongeze fikra.Maana ulichoandika umereflect jina lako..Mauzauza.
 
Bodi kwenye biashara ya magari kunakua na picha 4 umenifahamu..mbele,nyuma,upande wa dereva na upande wa abiria na ndani watu huwa wana mind mileage..hizo viti za gari ndani ni ujinga tuu ..mtu haendeshi hizo nakshi nakshi sawa....next time tangaza vizuri biashara yako sio unarukia tu hapa biashara zina wenyewe hizo ...haiyumkini wewe ni dalali..kwa hio moudy boka umeona ni jina zuri sio...si ndio nyie wa div.5 bongolo fava...eti first user in Tanzania !!! gari ya 2001.
 
Mauzauza,hamna haja ya kujibiana kimauzauza,maneno yako yamesomeka na pia tambua lakini mimi sio dalali!! Kuelimishana na kurekebishana bila kashifa inawezekana!! Karibu kwenye biashara!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom