Gari inauzwa

amina paggy

Member
Jul 14, 2013
37
0
Mercedes- benz, ml 350, 3.7l, mileage 95000,year 2005, a car is in good condition 100%, full ac, leather sit.please contact me 0657690970.bei ni sh 27mil
 
Attachments

 • IMG-20131120-WA0023.jpg
  File size
  119 KB
  Views
  278
 • 123432.jpg
  File size
  180.5 KB
  Views
  234
 • 12322.jpg
  File size
  179.9 KB
  Views
  223
 • 12342.jpg
  File size
  185.1 KB
  Views
  198
 • IMG-20131120-WA0022.jpg
  File size
  100 KB
  Views
  231

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,540
2,000
Mercedes- benz, ml 350, 3.7l, mileage 95000,year 2005, a car is in good condition 100%, full ac, leather sit.please contact me 0657690970.bei ni sh 27mil
Dada yangu Amina,
Nlishapata kukupa ushauri huko nyuma juu ya hili gari. Kinachotokea ni.kua kila baada ya wiki kadhaa utakua unakuja na same advert, means gari haliuziki.

Cha kufanya ni kua watu wako sensitive sana na bei. Kama ni lazima uliuze basi kila advert Jaribu kuja na bei cheaper zaidi. Ukisema unakwepa hasara labda litakudodea dada yangu.

Hizo gari kwa US$ 5,000.00 au $6,000.00 (roughly Tzs 10mil) unapata CIF Dar es Salaam inabaki kodi juu yako. Jaribu kuweka kivutio why mtu asi -import but aje kwako, and that is cheaper price.

Meanwhile tumia pia web nyingine kama advertise Dar, Zoom, etc
 
hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,890
2,000
Mil 350?? Kila la heri katika kutafuta wateja

Wewe utakuwa na div 5 tu sio ajabu. Ml.350 ni model ya gari na sio bei hizi anga nyingine mnavamia tu vijana uwe makini

Soma tangazo vizuri!

Acha unanga wewe na kukurupuka, soma ukaelewa kwanza kabla ya kuweka comment kwenye post. Hiyo ML350 ni model namba ya gari ila actual price ya gari ni 27mil.

Kaka ML350 ni model sio bei

Ameshaelewa wakuu. Mpotezeeni sasa.
Next time atajifunza kuacha kukurupuka na itamsaidia kufaulu badala ya kufeli.
 
Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,879
1,250
Dada yangu Amina,
Nlishapata kukupa ushauri huko nyuma juu ya hili gari. Kinachotokea ni.kua kila baada ya wiki kadhaa utakua unakuja na same advert, means gari haliuziki.

Cha kufanya ni kua watu wako sensitive sana na bei. Kama ni lazima uliuze basi kila advert Jaribu kuja na bei cheaper zaidi. Ukisema unakwepa hasara labda litakudodea dada yangu.

Hizo gari kwa US$ 5,000.00 au $6,000.00 (roughly Tzs 10mil) unapata CIF Dar es Salaam inabaki kodi juu yako. Jaribu kuweka kivutio why mtu asi -import but aje kwako, and that is cheaper price.

Meanwhile tumia pia web nyingine kama advertise Dar, Zoom, etc

Hizi seat za ngozi licha ya kupendeza na kutoruhusu uchafu na vumbi kupenda ndani ninachochukia ni pale zinapoanza kuchoka basi huharibu sura, ni full kukatika utadhani zimechanwa na nyembe za makali kuwili, utashawishika kutoonyesha hiyo ngozi bali kuifunika kwa vitambaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom