Gari inauzwa

Gari inauzwa

gayo

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
238
Reaction score
93
Ninauza gari aina ya suzuki swift ya 2001 yenye details zifuatazo:
1. Mileage 178000 KM
2. Reg number BJU
3. Iliingia Tz mwaka 2010
4. Iko katika hali nzuri sana ( inatembea )
5. Rangi nyeupe/cream (maziwa)
6. Bei - 5.4M ila mazungumzo yanakaribishwa

Kwanini nauza: Nasafiri nje ya nchi kimasomo

Kwa anayehitaji unaweza kuni PM

Picha nitaambatanisha baadaye

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa nini huweki picha? Matangazo ya magari yote mawili hakuna picha.
 
Ninauza gari aina ya suzuki swift ya 2001 yenye details zifuatazo:
1. Mileage 178000 KM
2. Reg number BJU
3. Iliingia Tz mwaka 2010
4. Iko katika hali nzuri sana ( inatembea )
5. Rangi nyeupe/cream (maziwa)
6. Bei - 5.4M ila mazungumzo yanakaribishwa

Kwanini nauza: Nasafiri nje ya nchi kimasomo

Kwa anayehitaji unaweza kuni PM

Picha nitaambatanisha baadaye

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hapo kwenye red,
Kama vile unatupiga kamba, Nahis wewe ni dalali
Vip ile RAV 4 ushauza?, au unauza hayo magar (RAV4 na Swift upata ada +nauli)

kama unafamilia waachie familia wajimwage hapa mjin bwana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom