Gari Inauzwa!! Gari Inauzwa!!

Gari Inauzwa!! Gari Inauzwa!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,847
Reaction score
29,560
Habari zenu wakuu,.

Gari aina ya Suzuki Carry inauzwa,

Gari imetoka Japan haina hata mwezi hapa Dar es salaam,.

Gari imesajiliwa tiyari kwa kuingia barabarani wakati wowote,. Alphabeti zake ni (CUB) na taarifa zote muhimu za gari zinapatikana,.

Gari ina macho ya box(square),.

Gari ina four wheel drive,..

Gari ina air condition,..

Gari ina radio,.

Gari inapatikana wakati wowote kwa ukaguzi,.

Bei yake Mil 7.5


Wakuu nimeshindwa kuweka picha ila naweza kuzituma kupitia Whatsapp,.

Kwa mawasiliano zaidi tumia 0714940775.
 
Habari zenu wakuu,.

Gari aina ya Suzuki Carry inauzwa,

Gari imetoka Japan haina hata mwezi hapa Dar es salaam,.

Gari imesajiliwa tiyari kwa kuingia barabarani wakati wowote,. Alphabeti zake ni (CUB) na taarifa zote muhimu za gari zinapatikana,.

Gari ina macho ya box(square),.

Gari ina four wheel drive,..

Gari ina air condition,..

Gari ina radio,.

Gari inapatikana wakati wowote kwa ukaguzi,.

Bei yake Mil 7.5


Kwa mawasiliano zaidi tumia 0714940775.

Wacha ...... hizo gari mpk ifike Dar ni 6m sasa we unataka upige 1.5 yote hiyo? Kula hata faida ya laki 5 khaaa aisee mjini hapa noma sana
 
Picha tuwasiliane nitazituma kupitia Whatsapp wakuu!
 
Gari bado ipo wakuu,. Kwa anayehitaji picha tafadhali tuwasiliane kupitia 0714940775
 
Back
Top Bottom