Gari inauzwa 6.5m

Gari inauzwa 6.5m

Ngoja nichimbe ki - swimming pool cha kuogelea hilo gari, maana najuz GX 100 hazinywi mafuta bali zinaogelea
Majungu hayajengi. Naona nia yako ni kuniharibia biashara, huna lolote na hiyo ni kawaida kwa watu wa aina yako
 
kaka naona wanakuzingua,mzigo tutaushughulikia nitakupigia nikilamba mwenye nazo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom