Salaaamz,
Nahitaji gari aina ya FIAT anayeuza/mwenye taarifa tafadhali anijuze. Tupia bei na location na hali ya gari hata kama haitembei(isiwe screpa). Tafadhal inahitajika haraka. Mtoa taarifa utapozwa kama biashara itafanikiwa. vigezo na masharti kuzingatiwa...
Mkuu Gefu, japo mimi sio mtaalam sana ila nadhani FIAT siku hizi wanatoa na gari ndogo za abiria tena za aina tofautitofauti na wakati huohuo wana zile za mizigo namaanisha malori. Nadhani ungeendelea kidogo kuweka sifa na vigezo zaidi vya hiyo FIAT unayoihitaji wewe.
Ubarikiwe mkuu
Salaaamz,
Nahitaji gari aina ya FIAT anayeuza/mwenye taarifa tafadhali anijuze. Tupia bei na location na hali ya gari hata kama haitembei(isiwe screpa). Tafadhal inahitajika haraka. Mtoa taarifa utapozwa kama biashara itafanikiwa. vigezo na masharti kuzingatiwa...
model 682..
...naihitaji niitumie huko dar na iringa wewe uko wapi, naweza kumtuma kijana wangu aje kuziona kama upo dar...Fiat 682 zipo Tunazo na zinapatikana goog running condition, bei 6 mln - 15 mln tuambie wewe uko wapi ? unaweza ku - PM ,,
...naihitaji niitumie huko dar na iringa wewe uko wapi, naweza kumtuma kijana wangu aje kuziona kama upo dar...