Gari hii nauza

Gari hii nauza

Majid Mnana

Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
19
Reaction score
2
Nissan Serena toka Japan . Bei sh million 15. Bei inapungua
Pia ninaweza kukuagizia Gari yoyote unayoitaka kwa unafuu. Utanilipa Commission sh laki 5 kama garama ya kukuagizia. Utapata gari zuri kwa bei nafuu. Karibuni sana.

Wasiliana nami;
Managing Director of
MNANA MOTORS & BIKES AGENCY
Majid Ahmed Mnana
P O Box 31886
Mobiles; +255 784 604971
+255 714894088
+255 762641094
Emails; mnanadotcom@gmail.com
mnanacom@yahoo.com
Dar-es-salaam
T A N Z A N I A
 
Attachments

  • WP_000004.jpg
    WP_000004.jpg
    160.4 KB · Views: 927
  • WP_000006.jpg
    WP_000006.jpg
    256.9 KB · Views: 828
  • WP_000013.jpg
    WP_000013.jpg
    218.6 KB · Views: 787
  • WP_000007.jpg
    WP_000007.jpg
    231.1 KB · Views: 771
  • WP_000015.jpg
    WP_000015.jpg
    186.5 KB · Views: 740
  • WP_000010.jpg
    WP_000010.jpg
    191.2 KB · Views: 738
  • WP_000018.jpg
    WP_000018.jpg
    171.1 KB · Views: 753
Sasa mbona unaongea vitu vinavyo jipinga?

unamuagizia mtu gari kwa bei nafuu
wakati wewe mwenyewe unauza hii gari kwa milioni 15

je mtu akiipata gari kama hii kwenye mtandao umuagizie la bei nafuu?

utamsaidia au utataka kumuuzia lako?

Hiyo serena zipo hadi dola 800....ukiagiza hadi huku haizidi milioni 8...
wewe unauza kwa milioni 15?
 
Noah Toleo la kwanza utapata kwa miliono 11.1
 
Attachments

  • 10919018_512590298883157_2774152941982475814_n.jpg
    10919018_512590298883157_2774152941982475814_n.jpg
    74.4 KB · Views: 589
  • 10897024_512580708884116_188557058155702557_n.jpg
    10897024_512580708884116_188557058155702557_n.jpg
    75.2 KB · Views: 586
  • 10392586_512595425549311_1098118938389634066_n.jpg
    10392586_512595425549311_1098118938389634066_n.jpg
    81.3 KB · Views: 606
  • 10385550_512580652217455_8436680631139654768_n.jpg
    10385550_512580652217455_8436680631139654768_n.jpg
    73.3 KB · Views: 623
  • 1511076_512584352217085_4872865320441140301_n.jpg
    1511076_512584352217085_4872865320441140301_n.jpg
    76 KB · Views: 666
Kaka yangu The Boss. Mimi ni mfanyabiashara. Nauza gari ili nipate faida. Pia Ninawaagizia magari wateja wananilipa Commission laki 5.
Mteja anayehitaji gari ambalo mimi sina. Ninamuagizia. Kuna baadhi ya wateja ambao hana uvumilivu wa kusubiri gari kwa muda wa mwezi mmoja na nusu. Hawa ndiyo nawauzia kwa faida.
 
mercedes benz nyeusi c class inapatikana
 
Kaka yangu The Boss. Mimi ni mfanyabiashara. Nauza gari ili nipate faida. Pia Ninawaagizia magari wateja wananilipa Commission laki 5.
Mteja anayehitaji gari ambalo mimi sina. Ninamuagizia. Kuna baadhi ya wateja ambao hana uvumilivu wa kusubiri gari kwa muda wa mwezi mmoja na nusu. Hawa ndiyo nawauzia kwa faida.
Hongera Bhana..ubarikiwe madamu unajenga Taifa powa... The Boss acha tuzungushe fedha... Mie nina left hand drive...imezituma congo !!
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo. Inakuwa imelipiwa ushuru, imesajiliwa na kulipiwa Road licence
 
Mimi sina Benz nyeusi C class.
Niliyonayo ni Benzi Nyeusi A class.
Ngoja niangalie kwa kuagiza kutoka nje itafika kwa sh ngapi?
 
Attachments

  • 1408713615040.jpg
    1408713615040.jpg
    10.5 KB · Views: 300
Nissan Serena toka Japan . Bei sh million 15. Bei inapungua
Pia ninaweza kukuagizia Gari yoyote unayoitaka kwa unafuu. Utanilipa Commission sh laki 5 kama garama ya kukuagizia. Utapata gari zuri kwa bei nafuu. Karibuni sana.

Wasiliana nami;
Managing Director of
MNANA MOTORS & BIKES AGENCY
Majid Ahmed Mnana
P O Box 31886
Mobiles; +255 784 604971
+255 714894088
+255 762641094
Emails; mnanadotcom@gmail.com
mnanacom@yahoo.com
Dar-es-salaam
T A N Z A N I A
Gari ikinifikia mkononi ndo utachukua hela siyo? yaani yako na ya kununua gari
 
Nimeona neno "bike" hapo jee mnahusika na pikipiki? Bajaj pulsa ns200 nitaipa kwa ngapi?
 
Benz C Class nyeusi nikiagiza itafika kwa sh million 11.3
 
Attachments

  • BF349986_57fb0d.jpg
    BF349986_57fb0d.jpg
    50.9 KB · Views: 263
  • BF349986_d281bb.jpg
    BF349986_d281bb.jpg
    49.7 KB · Views: 280
  • BF349986_34d537.jpg
    BF349986_34d537.jpg
    45.8 KB · Views: 291
  • BF349986_9d4a49.jpg
    BF349986_9d4a49.jpg
    44.7 KB · Views: 290
  • BF349986_9b4740.jpg
    BF349986_9b4740.jpg
    44.1 KB · Views: 318
  • BF349986_e80167.jpg
    BF349986_e80167.jpg
    49.7 KB · Views: 265
  • BF349986_559ea6.jpg
    BF349986_559ea6.jpg
    54.1 KB · Views: 255
  • BF349986_c48982.jpg
    BF349986_c48982.jpg
    46.1 KB · Views: 261
  • BF349986_d16e85.jpg
    BF349986_d16e85.jpg
    42 KB · Views: 253
Sasa mbona unaongea vitu vinavyo jipinga?

unamuagizia mtu gari kwa bei nafuu
wakati wewe mwenyewe unauza hii gari kwa milioni 15

je mtu akiipata gari kama hii kwenye mtandao umuagizie la bei nafuu?

utamsaidia au utataka kumuuzia lako?

Hiyo serena zipo hadi dola 800....ukiagiza hadi huku haizidi milioni 8...
wewe unauza kwa milioni 15?

Interesting...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom