Gari hii inauzwa kwa muhitaji!

Gari hii inauzwa kwa muhitaji!

Nimeshaiona Nivea.. Mie sielewi kinachoendelea maana Paloma hajaniambia kama anataka gari mbona..
kusoma hujui na hata picha huelewi Paloma anataka kutembea akiwa amekaa juu ya chasis ya toyota selika sawa sosoliso hukuja mjini kuuz sharubu na kuwahudumia uwapendao
aione Paloma
 
Last edited by a moderator:
teeeh
mume si alishaninunulia ile mandolin ya 1961!
selika mafuta best.............nataka suzuki kei............!!! ndo natafuta mkopo!
celica ,altezza,verossa zione tu wanaendesha huko barabarani ila kwa wese wanagugumia best mie bora mnyama suzuki kei ya elfu 10 utasota kidogo huko kwa hao ni umeshitua breki hahahahah
 
Loh nimecheka sana i use it as my todays quote haha haa loh watu mnamaneno.
Hongera inamaana umeongeza maisha!!ahaaa

mhhh KakaKiiza......haya sasa majungu! nani anamlinda mwanaume gani hapa?!?! Nivea yeye ana roho ya korosho....ataka kuliziba jua kwa ungo! ili nisikopeshwe mie nitembee huku nimekaa!!
Mimi nilikuwa namwambia aliyekuwa anakuzibia!!

.......na huku upo we mwanamke kunizibia riziki?!?!? hujui kuwa mola ndio anapanga?!?!?
Umeona nikama kuziba maji yaliyopo katika tenga!

Hivi bado kashikilia??

hahahahaahahah aisee and vise versa is true
Umeona eheee

hapa nimejifunza kuwa "silence can never be misquoted" wallah tena!!

see you at "kwa mwingira" Nivea
Uwanjani maana najua ujawahi kwenda wewe unasikia sauti za maspika!!!

hahaha Paloma pole mwaya simwiti tena mumeo baaaaaasi wewe kopeshwa selika ila tusione mathread humu
Ehee kwa hii ni verssa??mathread ya nayo husu nini!!

teeeh
mume si alishaninunulia ile mandolin ya 1961!
selika mafuta best.............nataka suzuki kei............!!! ndo natafuta mkopo!
Sasa selika ina cc 1700 unaogopa mafuta je ukiwa na gx100 basi nunueni bajaji au krikuu!!

haswaa mambo ya ku drift na auto ni kuua transmission mapema
Hapana kabla yakutengenezwa walishaliona nawakalifanyia utafiti nakumbuka wakati magari ya auto yanaingia eti usinunue auto yanapandana gia watu bwana!!

Nimeshaiona Nivea.. Mie sielewi kinachoendelea maana Paloma hajaniambia kama anataka gari mbona..
Eheee mamii analia kila siku unashikisha bomba nakupitia kwenye madrisha mbagala mchezo!!

celica ,altezza,verossa zione tu wanaendesha huko barabarani ila kwa wese wanagugumia best mie bora mnyama suzuki kei ya elfu 10 utasota kidogo huko kwa hao ni umeshitua breki hahahahah
Umeamua sasa ukiona wanaendesha watu wewe unawaza mafuta pole sana!!......Hila soma CC 1700!Na wewe Paloma na Nivea mmechakachua thread yangu inaonekana iko Chitchat!!nyie watoto wabaya!
 
Last edited by a moderator:
Nisaidie kumuuliza kama ina uwezo wa kutumika kama gesht haush.

Ila ina milango mitatu tu...hiyo nzuri kwa kuwadaka wapenda lift..dayuuuuum!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom