Gari hii inauzwa kwa muhitaji!

Gari hii inauzwa kwa muhitaji!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,948
Reaction score
9,464
DSC02061.jpgDSC02064.jpgDSC02065.jpgDSC02066.JPG
GARI IMEWEKWA RIMU ZA SPORT (ALLOW RIMS)INSURANCE NI COMPREHENSIVE MPAKA 7/2014.IMEMILIKIWA NA MTU MMOJA TU!TANGU ITOKE JAPAN.

Toyota :CELICA

Model :TA-ZZT230[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Engine Size: 1,790cc
Manuf year: 2001

Transmiss: Auto

Fuel Gasoline/Petrol

Seats :4
Doors: 3

BEI 9ML MAZUNGUMUZO YAPO DUTY FULL PAID .
 
Gari sport kama hii inapendeza ikiwa manual transmission. Ila kila la kheri mkuu.
 
imesafiri km ngapi baba?

BTW machine kwa umbo na specs kali sana.
 
.......na huku upo we mwanamke kunizibia riziki?!?!? hujui kuwa mola ndio anapanga?!?!?
Lani kulinda mwanaume nikama kulinda Bahari unalinda Coco beach Ununio wanaendelea kuvua!:tape::faint2::A S 39:😛eep:
 
Lani kulinda mwanaume nikama kulinda Bahari unalinda Coco beach Ununio wanaendelea kuvua!:tape::faint2::A S 39:😛eep:

Loh nimecheka sana i use it as my todays quote haha haa loh watu mnamaneno.
 
Lani kulinda mwanaume nikama kulinda Bahari unalinda Coco beach Ununio wanaendelea kuvua!:tape::faint2::A S 39:😛eep:

mhhh KakaKiiza......haya sasa majungu! nani anamlinda mwanaume gani hapa?!?! Nivea yeye ana roho ya korosho....ataka kuliziba jua kwa ungo! ili nisikopeshwe mie nitembee huku nimekaa!!
 
Last edited by a moderator:
hahaha Paloma pole mwaya simwiti tena mumeo baaaaaasi wewe kopeshwa selika ila tusione mathread humu

teeeh
mume si alishaninunulia ile mandolin ya 1961!
selika mafuta best.............nataka suzuki kei............!!! ndo natafuta mkopo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom