Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,959
Ni Rungwe Express tuu ndio bus likufaalo Kwa safari za Mbeya.Mimi ni mgeni huko nipeni maelekezo gari nzuri za kutoka Dar kwenda Mbeya sehemu nzuri za kufikia mbeya mjini ambao malazi ni rahisi na usalama mzuri, nataka nikatembee Green city Pasaka hii, na sehemu gani nzuri za kutembelea?
Misuse of social media...kweli kwa issue kama hiyo unakuja kuuliza huku JF!!!!!???
Mkuu humo kumebaki jina tuuuNi Rungwe Express tuu ndio bus likufaalo Kwa safari za Mbeya.
Yah Panda[emoji209]Gari inaitwa 'Panda' nzuri mwendo poa Ac Dar had Kitonga.