Gari A ameshika breki kusimama.
Gari B linatembea na mwendo constant.
Gari C limeanza kutembea ndo anaanza safari au linatembea ila ameongeza mwendo tofauti na ulikuwa mwanzo
Gari A ameshika breki kusimama.
Gari B linatembea na mwendo constant.
Gari C limeanza kutembea ndo anaanza safari au linatembea ila ameongeza mwendo tofauti na ulikuwa mwanzo
Inawezekana yote yakawa yanatembea, ila
A. Anatembea at a decceleration speed,
B. Inawezekana amesimama au anatembea at a constant speed
C. Inawezekana anatembea at acceleration speed