Gari gani itanifaa kati ya hizi?

Probm ya Alphard ni fupi sana.Nahisi hata mafuta iko juu.Mi nahitaji cross over,iliyo juu,if possible na 4wd,na pia mafuta angalau 2000cc.Lakin iwe na mwonekano presentable kias
Chukua subaru mkuu zile SUV naona ziko nyingi siku hizi so hata spea zitakua za kumwaga na bei inacheza humo kwenye bajeti yako ya milioni 20 iyo milioni mbili utaenda kwa diki sound akufungie mziki na kujaza full tank mwezi mmoja wa mwanzo
 
Chukua subaru mkuu zile SUV naona ziko nyingi siku hizi so hata spea zitakua za kumwaga na bei inacheza humo kwenye bajeti yako ya milioni 20 iyo milioni mbili utaenda kwa diki sound akufungie mziki na kujaza full tank mwezi mmoja wa mwanzo
Subaru kwani yuko arusha?
 
Yani hakuna gari nisiyoipenda kama alphad yani ni litakataka kubwa jinga flani hivi mgali mkuuuuubwa hata parking shida
Tatizo watu wengi hawaelewi ninunue gari lipi kwa shughuli ipi kisa umaskini, MTU anakaela kidogo anataka anunue gari litakalofiti kila idara mpaka shamba limlimie, alphard ni moja best family car
 
Unaweza kutuambia changamoto za nissan with facts?
 
Ahahaaa arusha na Subaru bna .hivi ni kwanini eti?
Ni upepo tu wa vijana wanaopenda ma mbio mbio hata chuo cha ushirika hapa moshi wafanyakazi 70% wana drive subaru nazani kwasababu ya ugumu wake pia
 

I think Vanguard na Harrier engine ziko juu, mimi ningeshauri Subaru ama Suzuki ila bei ya suzuki nayo iko juu sana. Issue ya Suzuki ni ule mguu wa chini ukianza kugonga kuubadilisha huwezi
 
Usipoteze muda nenda kwenye Harrier yenye engine ya 2AZ-FE,hiyo cc 2360 isikutishe,hiyo engine ni VVTI iko vizuri sana kwenye kutafuna mafuta,inakwenda mpaka km 13 kwa lita 1 kwenye high way( speed 80-110 km/h)...
Kama ni mtu wa Dar ni mara chache anaweza kufikia speed ya 80-100 km per h
 
Ni upepo tu wa vijana wanaopenda ma mbio mbio hata chuo cha ushirika hapa moshi wafanyakazi 70% wana drive subaru nazani kwasababu ya ugumu wake pia
I think its more of a culture zaidi na kuigana.....ukienda SUA utakuta Spacio zimejaa kama nin ukienda UDSM utakuta Rav 4 za 1998 kama zote....lakini pia kuna magari ambayo ni common kwenye mkoa flan pia kwa mfano Dar Harrier, IST, RAV ni nyingi mno ukienda Arusha Subaru forest mpaka utafurahi.......
 
Kama moshi ESKODO ni nyingi mno kwasababu ya Tope linatereza kupanda mlimani migombani huko
 
Ukituliza mawazo yako mkuu njoo nikuuzie Escudo. Gari nzuri, presentable, powerful and fuel economical yet with 4 wheel drive option!

Gari unaendea misele yote, shamba na site kisha unaiosha unaendea Bar na unaosha jina vile vile.
 
Nakushauri Chukua kati ya hizi Rav-4 ya 2006, Vanguard yenye siti 7 hii 2008, Harrier tako la nyani tofauti na Toyota Chukua Nissan Xtrail 2007 zote hizi ulaji wa mafuta ni sawa
 
KLUGER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…