Gari gani bei ya chini zaidi?

Unaweza nipa na bei zake

cf7f1692-b857-4e0a-a4e4-19f02e654d92.jpg
057af222-f6fa-444a-a85e-021b55cd1ae9.jpg

Pia kuna passo mfano hii Mil 4
 
Mpya kwa tafsiri halisi au tafsiri ya Kibongo?
Kuna mpya used kutoka Japan ,China and so(kwa tafsiri ya kibongo)
Kuna mpya wewe ndiye mmiliki wa kwanza toka kiwandani(inasoma 0.something km) hii ndo tafsiri halisi ya gari mpya
 
Kwa tafsiri halali ya kibongo zenye km 1+
 
Nataka gari mpya ya bei ndogo zaidi
Karibu tukuagizie kwa mkopo kutoka japan

Semsella Enterprises/ecarstanzania
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947
 
StarLet, Suzuki Escudo no A au Toyota Oppa

iPhone-s
NAFAHAMU TOYOTA OPPA NI 1790 CC.
IVI KWANINI OPPA BEI ZAKE ZIPO CHINI SANA?
JE GARI HIZI ZINATATIZO GANI MPAKA BEI YAKE KUWA HIVYO?
DURABILITY?UIMARA WAKE UKOJE?
BEI YA SPEA ZAKE ZIKOJE?
FUEL CONSUMPTION YAKE IKOJE?
 
Hiyo gari inawahi sana kuchoka,na inachoka vibaya sana
 
Back
Top Bottom