Gari Fuso Box Body inahitajika

Slim Mchuma

Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
83
Reaction score
51
Wakuu Habari.

Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, bajeti yangu ni milion 22

Na naitaji Gari aina ya Fuso

Kwa yeyote anaeuza basi anidm tufanye biashara

NB: Itapendeza kama biashara itatoka kwa mwenye mali husika.

Niko Dar es Salaam
 
Kwa budget hiyo, itakuwia ngumu kupata box body nzuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…