Naomba msaada kwa mtu yeyote anayejua namna ya kuzipata Gari canter used kutoka Malawi. Hasa zile multipurpose ambazo unaweza ukazitumia kusombea na mchanga.
Naomba msaada kwa mtu yeyote anayejua namna ya kuzipata Gari canter used kutoka Malawi. Hasa zile multipurpose ambazo unaweza ukazitumia kusombea na mchanga.
Ni ajabu sana bei gari nchi jirani isiyokuwa na kiwanda cha magari wala bandari kuwa bei rahisi kuliko hapa kwetu.
Mkuu wee zama huko huko malawi maana siyo mbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.