Pole sana Mkuu
a)Toa taarifa vituo vya polisi,na pia ikiwezekana fanya iwezekanavyo ipigwe patrol ya maana,na ungekumbuka haraka ungekodi kama bodaboda za kituo chote cha karibu yako wavamie mitaa basi ungelipata mapema,maana madereva wa bodaboda kwa issue kama hizo wangetoa ushirikiano wa awali
b)Ndugu zako wa karibu,hapa pia angalia watu wako wa karibu wakiwemo mandugu na marafiki zao.Huu mchezo kuna mazingira huwa unafanyika kwa watu wa karibu ambao wanakufuatilia.
c)Nenda na vituo vy TV kama ITV utoe tangazo,maana huu wizi zamani watu walikuwa wakiibia wanatafuta kimya kimya ila siku hizi ni rahisi,na ikisha vuja issue ya kutafutwa gari basi hakuna mtu atakae kubali gari ihifadhiwe kwake na ndio maana baadhi ya magari huachwa sehem
Ujumbe kwa Rais na wamiliki wa Magari
Tusiwe na mazoea kwamba ukiisha ibiwa ndioa kili ije.
Hivi unamiliki Gari jiji La Dar bila kuwa na GPS Tracking Systme?
Hii siku hizi imekuwa rahisi mno unalipa kwa mwaka na pia kuna bundle ambazo kama unamiliki hata boaboda unaweza kulipia.
Sasa kwa kwa vile hawa wezi wameishajua kwamba tumelala huu mchezo kila mtu asiekuwa makini analia.
Nakuambia kwa Ushuhuda,kwamba mie namiliki V Carry hapo Dar na vyote nimevifunga,na Pika kuna bodaboda zile aia ya Boxers nazo nimeziunga system na nimewaambia kwamba Drivers wangu wakivamiwa tu basi waliache gari na wasifanye ubishi.Maana almost kila baada ya masaa mawili huwa naifuatilie mwenendo wake.
Na pia ukifungiwa unakuwa trained kujua kama driver ndie au sie,so hata kama driver amechukuliwa sim basi utajua.Inasaidia sana.Ila wa TZ ni wabishi saana mpaka mtu limkute,na likimkuta basi muda mfupi tu anasahau
Jeshi La Polisi na Meya wa Jiji
Ningheomba kwamba muwe mnasikiliza vilio vya wenye magari,naamini kwamba kuna maduka kwa kumbukumbu zangu za miaka 20,yapo maduka ambayo yanauzwa vifaa vya wizi na yapo City Center na nje ya mji.
Hembu wekeni mfumo rasmi wa kuyafunga na kufuatilia hili,maana haya mtoto mdogo anayajua itakuwa nyie askari?na zamani walikuwa jeuri kweli,unakitua kitu hadi na number zako ila wanakuuzia,ila siku hizi ndio wanaona wafute ushahidi
Pole sana mkuu,ila utalipaa