JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,380
- 9,699
Ikifungwa Pirelli itagoma kutembea, siyo tairi iliyokuwa recommended kwenye manual yake.😃
Gari za zamani ndio zilikuwa na Port ya Diagnosis kwenye engine bay.Hiyo taa kuwaka sio kawaida,mzungu sio mjinga Kama mbongo ikiwa taa inawaka maana yake Kuna tatizo mahali.
Tatizo letu wabongo na inawezeka a kwasababu ya ujinga wetu,magari yetu tunatengeneza chini ya mwembe.
Sasahivi magari mengi ukiangalia engine Kuna diagnosis box,Ile Ina maana Sana Sasa sisi ni watu wa kupuuza Kila kitu
Madhara yake unaweza usione muda mfupi ujao,ukija shtuka unajuta
Hongera mkuu. Ulitumia ile button?Nishatatua tatizo Mimi mwenyewe bila ya fundi wala mashine tena kirahisi sana,
Nimegundua ukiwa na tatizo halafu ukaja Jamii forum kupata muongozo usipokuwa makini unaongezewa tatizo
Ndio Mkuu, unajua tangu Jana nilikuwa naiwazia Ile button ila sikuwa na uhakika ndio maana nikapiga picha nikakutumiaHongera mkuu. Ulitumia ile button?
Mkuu, na hyo button kazi yake ni gani?View attachment 2440460
Ujue hadi nawaza kutoa hili tairi lililopata pancha niweke spare Tyre nione matokeo yake
Ndio Mkuu, unajua tangu Jana nilikuwa naiwazia Ile button ila sikuwa na uhakika ndio maana nikapiga picha nikakutumia
Nimeibonyeza na kuhold then Taa ika disappear (kwa udhamini wa google)
Nimetembea kama kilometers 12 haijarudi, acha niangalie na mizunguko nitakayoifanya kesho nione kama itarudi
Hiyo imeshapotea mazima.Ndio Mkuu, unajua tangu Jana nilikuwa naiwazia Ile button ila sikuwa na uhakika ndio maana nikapiga picha nikakutumia
Nimeibonyeza na kuhold then Taa ika disappear (kwa udhamini wa google)
Nimetembea kama kilometers 12 haijarudi, acha niangalie na mizunguko nitakayoifanya kesho nione kama itarudi
Ikifungwa Pirelli itagoma kutembea, siyo tairi iliyokuwa recommended kwenye manual yake.
Ndio heshima ya kumiliki gari hiyo. Haiji rahisi.Daah hivi unazan kuweka tairi jipya ni rahisi tu
Unavosema weka tyre mpya kama unabadili cover la simu
Tena hizi dunia kijiji anaagiza tu ebay asubuhi mchana wanakuwa wamemtumia tairi zake kwa email. Aache ushamba dunia kijiji.Abadilishe tairi bwana aache usanii, watu wakinunua rav 4 mnawaona washamba. Afate masharti ya BMW inavyotaka tairi moja ya pirelli ni laki 6 tu sio hela nyingi sana.
Ukifika kms kma ambazo ulifika wakati imewaka itawaka tena. Sasa hivi umeizubaisha tu kwa muda. Au itakuwa imeungua....Ndio Mkuu, unajua tangu Jana nilikuwa naiwazia Ile button ila sikuwa na uhakika ndio maana nikapiga picha nikakutumia
Nimeibonyeza na kuhold then Taa ika disappear (kwa udhamini wa google)
Nimetembea kama kilometers 12 haijarudi, acha niangalie na mizunguko nitakayoifanya kesho nione kama itarudi
Zipo hizo tembelea maeneo ya
Kwahiyo mkuu unanihakikishia kwamba nikibadilisha Tyres zote Taa itazima sio
Na kama nikibadili halafu ikagoma kuzima?