Negotiable?
Vipi ulaji wake wa mafuta? km ngapi kwa lita? upo Dar?
Hahaha hili jibu la CC nimelipenda saanahio CC yake meaning 1.7lita per km sasa kwa dar pamoja na foleni lets say unafanya kaz posta mimi huwa natumia 180,000 kwa mwezi kutoka mbezi beach makonde, ulaji wake ni mzuri kama spacio, raum, alex/runex,
Acha longolongo mkuu weka cc hapa mezani sio hzo assumption zako au umelenga wateja wa mbezi makonde pekee ili waandae hyo 180000 fuel per month
Karibuni sana
hio CC yake meaning 1.7lita per km sasa kwa dar pamoja na foleni lets say unafanya kaz posta mimi huwa natumia 180,000 kwa mwezi kutoka mbezi beach makonde, ulaji wake ni mzuri kama spacio, raum, alex/runex,
kwanin unaliuza?
Hapo kwenye lita 1.7 per km umechemsha mkuu,fanya utafiti vizur kwa wataalamu au weka mafuta lita hata mbili uanagalie inakulaje mafuta kwa 1km kwenye njia isio na msongamano wa mgari,kwani nina uhakika hiyo gari inaweza kuwa inatumia mpaka lita 1 kwa 9 -10km.