jerry hudson
Member
- Feb 23, 2014
- 32
- 3
ha
ha ha ha ha dah! ngoja nicheke niongeze uhai
hebu ongeza japo kidogo iwe 4.5 milioni mkuu tufanye biashara kwani mm naagiza toka japan
ukiniagizia suzuki kei ya 2005 4WD,utanifanyia bei gani?niko serikalini tgs d,zingatia exemption ya import duty
Ukihitaji gx 100 niambie unipe hela.
Mtu anatafuta Vitz wewe unamtangazi Range, kwa mwendo huu muundo wa serikali mbili utaendelea.
Lady hiyo gari unayo kweli? Ili niicheki kama iko poa tufanye biashara
0715757041 nicheki nikaone hilo gari
ukiniagizia suzuki kei ya 2005 4WD,utanifanyia bei gani?niko serikalini tgs d,zingatia exemption ya import duty
ukiniagizia suzuki kei ya 2005 4WD,utanifanyia bei gani?niko serikalini tgs d,zingatia exemption ya import duty
Unacheka nn sasa
mtu anataka gari ya 3m,we unaweka ya 60m,masihara haya jamani
mkuu kunajamaa namjua katuma hiyo gari japan mpaka kufika bongo na kutembea ni 4 million...
gari nzuri sana hiyo 650cc
ngoja niktumie sample uone kwani wewe offer yako ni ngapi?
Siku mletea yeye acha tabia za kiswahil wewe
ha
ha ha ha ha dah! ngoja nicheke niongeze uhai
Ananunua kwa ajili ya kuuza au personal?,naomba contact zake anisaidie mwongozo
ni la kuagizwa haliko katika yadi hivyo kama unataka nikutume sample hapa uone nambie rafiki
angalia hizi sample kisha utaona bei yake ya kuagizia suala linakuja huku bandari ya kwetu ktka kulitoa bandarini
aina yake ni suzuki kei (2005) inatokea Japan
Registration Year / Month 2005/0
Mileage 50,550 km
Displacement 660 cc
Steering CBA-HN22S
Automatic
Fuel Petrol
View attachment 150377 View attachment 150378
View attachment 150379 View attachment 150380
OFFER YAKO NI NGAPI?