Masega Original ya gari aina zote na guarantee

geranteeh

JF-Expert Member
May 21, 2015
266
618
MASEGA YA MAGARI AINA HIZI HAPA

Toyota aina zote
Benzi aina zote
BMW Aina zote
Nissan Aina zote
Ford aina zote
Isuzu aina zote
Honda aina zote
Volvo aina zote
Volks wagon zote
Hyundai zote
Suzuki zote
N.k

Tuna vibuyu masega aina zote za hizo gari kwa bei ya shiling 100k laki moja kwa kila kibuyu badala ya 130k

GUARANTEE IPO

WAKAZI WA MIKOANI MALIPO NI MZIGO UKISHATUMIWA

WAKAZI WA DAR MALIPO NI UKISHAPATA MZIGO

Contact: 0655513132
Whats app : 0693163110

Location Sinza & KijitonyamaView attachment 2909838View attachment 2909837
IMG-20230401-WA0001.jpg
 
Hayo masega yanatumika kwenye nini? Mbona expensive?
Boss masega kazi yame kwenye gari ni kusaidia ku control uchafuzi wa mazingira kutokana na hewa chafu inayotoka kwenye gari baada ya milipuko

Na hayo ni mapya mkuu original kabisa tunaongelea laki nane so kiufupi sio expensive
 
Kwamba watu watalipa baada ya kupokea mzigo huo ni ulaghai,kuna namna unataka kuibia watu!
 
MASEGA YA MAGARI AINA HIZI HAPA

Toyota aina zote
Benzi aina zote
BMW Aina zote
Nissan Aina zote
Ford aina zote
Isuzu aina zote
Honda aina zote
Volvo aina zote
Volks wagon zote
Hyundai zote
Suzuki zote
N.k

Tuna vibuyu masega aina zote za hizo gari kwa bei ya shiling 100k laki moja kwa kila kibuyu badala ya 130k

GUARANTEE IPO

WAKAZI WA MIKOANI MALIPO NI MZIGO UKISHATUMIWA

WAKAZI WA DAR MALIPO NI UKISHAPATA MZIGO

Contact: 0655513132
Whats app : 0693163110

Location Sinza & KijitonyamaView attachment 2909838View attachment 2909837View attachment 2909839
Watu tumeibiwa sana masega Kwenye magari yetu.Itabidi useme Vizuri ulikoyapata.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom