Gari aina ya Range rover na Cruiser zinahitajika

Gari aina ya Range rover na Cruiser zinahitajika

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Kama unamjua mtu ambaye anauza gari aina ya range rover na cruiser naomba tuwasiliane kwa namba 0755103405..
Inahitaji haraka
 
Aisee ukitumwa ujue na vya kuandika.
Taizo wewe mwenyewe unajiita Popo,na post umeiweka mchana.
Nakushauri subiri usiku ndio upost kwa umakini.

Range rovers zipo aina kibaoo,Cruisers ndio usiseme.

Ukiweka Tangazo kijuu juu ndio unakuta kwamba watu wanahisi kwamba unataka kuitumia gari kwenye issue.Hata kama nia yako sio hiyo.
 
Back
Top Bottom