Hata ikiwa ni Starlet ukitaka kutoboa hata South Africa unaenda,mzungu hakubahatisha,Noa inaenda popote,bora tu barabara iwe inapitikaKwa yeyote anayemiliki au kutumia gari aina ya noah anisaidie kunijuza kama inafaa kwa safari ndefu na ina uwezo kuhimili njia
Noah ya zamani ipo poa kwa engine sio Balance zero Noah mpya aiweziKwa yeyote anayemiliki au kutumia gari aina ya noah anisaidie kunijuza kama inafaa kwa safari ndefu na ina uwezo kuhimili njia
Noah haijatengenezwa mahsusi ya kumudu mikikimikiki japo tuna force kutokana na umasikini.Kwa yeyote anayemiliki au kutumia gari aina ya noah anisaidie kunijuza kama inafaa kwa safari ndefu na ina uwezo kuhimili njia
hio gari haina balance kabisa...linafaa lakini ...usiendeshe zaidi ya 80.., tofauti na hapo wacha wosia kabisaKwa yeyote anayemiliki au kutumia gari aina ya noah anisaidie kunijuza kama inafaa kwa safari ndefu na ina uwezo kuhimili njia
Kweli kabisa haifai aisee najuta kuinunuahio gari haina balance kabisa...linafaa lakini ...usiendeshe zaidi ya 80.., tofauti na hapo wacha wosia kabisa
Mkuu huo mchuma uliouweka hapa sio mchezo unatembea kiroho mbaya.Hilux vigo raider 4X4 the best car for a long journey
Mzee mbona avatar yako rangi yake imekoza sana hadi inaumiza macho.Toka inipige chini si dhubutu kusafili na Noah ni nyepesi sana inakimbia sana Ila haina balance haifai ni Atari sana