Gari aina ya nadia inauzwa 11m

Gari aina ya nadia inauzwa 11m

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Hello,

Gari tajwa hapo juu yauzwa:

  • NADIA TYPSU
  • ENGINE - 1AZ
  • CC- 1990
  • MWAKA WA KUTENGENEZWA: 2001
  • NO. B
  • MILAGE: 115,450KM
  • Vibali vipo hai, gari bado iko vizuri nje na ndani; KWA UJUMLA NI SAFI KILA IDARA
  • RANGI: Metallic
  • Ipo Mbeya mjini.
  • Haina tatizo lolote; kama huamini njoo na fundi, jaribu kisha Lipia.
  • Popote Tanzania unaletewa.
Gari hii haihitaji matengenezo yoyote, wala kununulia chochote. Karibu,

Mawasiliano: 0752414941 au 0652 656565
 

Attachments

  • Nadia mbele.jpg
    Nadia mbele.jpg
    166.6 KB · Views: 330
  • Nadia nje.jpg
    Nadia nje.jpg
    157.4 KB · Views: 309
  • Nadia ndani.jpg
    Nadia ndani.jpg
    157.5 KB · Views: 290
  • Nadia seat.jpg
    Nadia seat.jpg
    93 KB · Views: 275
  • Nadia ubavu.jpg
    Nadia ubavu.jpg
    140 KB · Views: 341
Kwa ushauri tu Mkuu, hiyo bei hiyo itafakari kwa makini! Vinginevyo kila la heri!
 
Mkuu kiukweli hiyo bei ipo juu sana, maana gari lenyewe kwanza limepoteza umaarufu, na hiyo bei ni far above market price
 
Brevis, Verossa, Ipsum na nyinginezo ukienda showrooms bei inaanzia 12m-, ww Nadia unauza 11m...maajabu haya ya dunia, hiyo bei ya kuanzia weka 8m.
 
mkuu hii kitu ilishanikumba mimi nilitangaza nauza gari wakaja watu wakapiga picha katika pita pita yangu kwenye mitandao nikakuta mtu ameiweka na kaweka bei mara mbili ya ile niliyotaka mimi.Nashukuru niliweza kuuza kwa ile bei niliyotaka mimi.Ila nina matumaini hii gari labda mtu amepitiwa sio bei yake
 
Back
Top Bottom