Una yoyote inayouzwa?kuanzia 4.5 mpka 6mln mkuu
Ova
Poa mkuuIpo moja namba b engen 3s Ngoja nkuchekie kama ipo ntakujukisha
Ova
Weka picha mkuuIle premio ipo mkuu
Ova
Weka hapa mkuuNikuweke hapa au nkutumie kwa whatsap
Ova
Hiyo ni bmw baba usiite baby walkerNgoja nicheki na Sakayo anambie kama haka kababywalker katamfaa kwenye safari zake za kwenda gengeni kunitafutia matunda.
Poa mkuu.Ntakuwekea mkuu
Ova
Hii ni 4.5mPoa mkuu.
Ya mr bean ilikuwa Renaultkagari ka mr bean
Duh. Hii imesimama kinomaHii ni 4.5m
Baby walker siyo model ya gari mkuu... ni size ya gari.Hiyo ni bmw baba usiite baby walker