Gari aina ya mini cooper inauzwa

Gari aina ya mini cooper inauzwa

Cc 1500
Inauzwa 8.5mln .....gari inapatikana magomeni,dar
Kwa mawasiliano zaidi piga sim
0715591141
Kwa hiyo hapo ndo umemaliza habari yote? Sawa, kwakuwa umeweka nambar ya tigo ngoja wenye bando lisilochacha wakupigie maana wanamadakika yasiyo na kazi. Kama ungekuwa serious ungeweka maelezo ya kutosha, kisha anayeridhika ndo akupigie simu.
 
Gari yenyewe hii hapa
 
Attachments

  • IMG-20170317-WA0061.jpg
    IMG-20170317-WA0061.jpg
    66 KB · Views: 299
  • IMG-20170317-WA0062.jpg
    IMG-20170317-WA0062.jpg
    41.1 KB · Views: 262
  • IMG-20170317-WA0063.jpg
    IMG-20170317-WA0063.jpg
    58.8 KB · Views: 291
  • IMG-20170317-WA0064.jpg
    IMG-20170317-WA0064.jpg
    58.6 KB · Views: 241
  • IMG-20170317-WA0069.jpg
    IMG-20170317-WA0069.jpg
    75.2 KB · Views: 248
  • IMG-20170317-WA0068.jpg
    IMG-20170317-WA0068.jpg
    46.6 KB · Views: 238
  • IMG-20170317-WA0070.jpg
    IMG-20170317-WA0070.jpg
    50.5 KB · Views: 254
Kwa hiyo hapo ndo umemaliza habari yote? Sawa, kwakuwa umeweka nambar ya tigo ngoja wenye bando lisilochacha wakupigie maana wanamadakika yasiyo na kazi. Kama ungekuwa serious ungeweka maelezo ya kutosha, kisha anayeridhika ndo akupigie simu.
Hehehe,Nlikuwa Nazi upload picha chief

Ova
 
8.5m ina matatizo gani?
Kwani mini cooper used ni bei gani bro???

Mi nimedhani ingekuwa cheaper than that.

Maana kwa hiyo bei unapata IST old model in a very good condition.
 
Kwani mini cooper used ni bei gani bro???

Mi nimedhani ingekuwa cheaper than that.

Maana kwa hiyo bei unapata IST old model in a very good condition.
Hizo makitu hivi sasa zimekuwa kama dagaa ziwa Tanganyika. Kila ukipishana na gari kumi unapishana nazo kama nne au tano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom