Gari aina ya mini cooper inauzwa

Cc 1500
Automatic transmission,
Petrol inatumia
Inauzwa 8.5mln .....gari inapatikana magomeni,dar
Kwa mawasiliano zaidi piga sim
0715591141
Ningekua mimi ndio wewe, kwenye hili tangazo ningeongezea
Engine size (CC)
Odometre,
Year of Manufacturing,
Date of Importation,
Number of Door,


Ila sababu wewe sio mimi, basi wacha hili tangazo libaki hivi hivi tu.
 
Ningekua mimi ndio wewe, kwenye hili tangazo ningeongezea
Engine size (CC)
Odometre,
Year of Manufacturing,
Date of Importation,
Number of Door,


Ila sababu wewe sio mimi, basi wacha hili tangazo libaki hivi hivi tu.
Mbona nimeandika cc 1500....
KWA muelewa ataelewa mkuu

Ova
 
Hahaha nimecheka sana mkuu... Yaani chuma ina spidi 200 huko ailinganishe IST? Anyway wabongo tumejifungia sana ndani ya box
msipende kuangalia sana spidi mita inavosoma kwa mantiki hiyo unaweza pigwa sana bei unakuta gari ina spid 300kph as spidi mita inavosoma nyingne 220 as spidi mita ilivo then unaambiwa uchague gari may be mshindane according to jinsi ulivoandika unaeza chagua yenye 300kph ukizan ni fast enough kuliko hiyo inayokua na 220kph

vivid example hizi hapa

audi A4 moja ina 188hp ni diesel akili ya kawaida au kama ni muangaliaji sana wa video za magari za aina tofaut hiyo gari ina tani na nusu spida ambayo inaeza fika ni 220haitesek en kama road imenyooka sana inaeza gonga 240 na sio zaid ya hapo ila audi wameipa spidi mita ya 300kph

mfano mwngne ni bmw 320D hvo hivo ila yenyewe spidi mita imepewa 260kph ila max ni 240

so usibabaike na spidi mita inavosoma .... siwezi linganisha ist na cooper ila usitumie kigezo cha spidi mita 200 + kph ya copper inavosoma ukazan ni fast enough kuliko ist zote kumbuka coopers nyingi ni 1500cc sio rahc kugonga 220 kwa engine hiyo otherwise it a turbo charged one
 
Daah gari nzuri sana hiyo.... Alafu nimependa mwonekano wake na rangi.......

Alafu hizo mirror zake zina tinted au ndo zilivyo..... Alafu ndani imetulia. Yaan bado mpya kabisa..... Sema ongeza picha nyingine.... Tuione vizuri
 
Dah, nisamehe tu Mkuu wangu,
Sikua nimekujua tu Kamanda wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom