Nmerekebisha
Ukichukua breki ya kwanza overhaulimetembea km 550000 duh majanga hapo
hizo kilometer mjomba, hebu ondoa sifuri ili tuzungumze!!:llama:
imetembea km 550000 duh majanga hapo
milion 24 bora kuagiza hukooo ughaibuni
avatar....hizo kilometer mjomba, hebu ondoa sifuri ili tuzungumze!!:llama:
Mark X inauzwa bei poa ni mpya kabisa na imelipiwa kodi(kila kitu), engine ni 2.5, ni toleo la 2007/2008, imetembea km:550000 na bei yake ni 24m pia ni salama kabisa kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kwa namba: 0714375365 au Email: mpambano40@gmail.com