Gari aina ya kia inauzwa 1.5m tu

Gari aina ya kia inauzwa 1.5m tu

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,943
Reaction score
808
Gari aina ya kia sportage inauzwa sh 1.5m tu, ina tatizo dogo kwenye injini
 
Picha za kia sportage
 
Attachments

  • 1436297675725.jpg
    1436297675725.jpg
    98.3 KB · Views: 1,143
  • 1436297766733.jpg
    1436297766733.jpg
    101.6 KB · Views: 1,101
  • 1436297901696.jpg
    1436297901696.jpg
    85.1 KB · Views: 1,060
Gari ka hizo ni kutoa bure tu ImageUploadedByJamiiForums1436299672.627840.jpg

Ndio useme maisha ya Tz na majuu ni sawa?? Kweli haaa banaa
 
mkuu ukinipa iyo watakiwa unipe na pesa ya usumbufu
 
mkuu vipi haijalipiwa miaka mingapi tuje tufanye biashara??

vipi ipo wapi hiyooo gari?? kwenye engine ilizingua nini?? haiwezi kabisa kutembea?? inawaka??

jibu maswali hayo faster tuongee biashara.

bora hii kuliko passo
 
naona ipo kwenye hali mahututi, kama mgonjwa anasubiri kukata roho
 
mkuu vipi haijalipiwa miaka mingapi tuje tufanye biashara??

vipi ipo wapi hiyooo gari?? kwenye engine ilizingua nini?? haiwezi kabisa kutembea?? inawaka??

jibu maswali hayo faster tuongee biashara.

bora hii kuliko passo

Kama gari lina tatizo dogo la engine kwa nini asilitengeneze alitumie au aliuze likiwa halina tatizo.
 
mkuu vipi haijalipiwa miaka mingapi tuje tufanye biashara??

vipi ipo wapi hiyooo gari?? kwenye engine ilizingua nini?? haiwezi kabisa kutembea?? inawaka??

jibu maswali hayo faster tuongee biashara.

bora hii kuliko passo

Inawaka vizuri ila inazimazima, hiyo injini unaweza ukaibadilisha ukafunga 3S ya Toyota Rav 4 inakaa vizuri tu
 
Deni la road licence itakuwa zaidi ya bei y gari.

Wee unafikiri gari zote zinazotembea mjini vibali vimekamilika? Ukiona gari kumi ujue mbili ndio zimekamilika kila kitu
 
Ikate kate uuze kama sikirepa utapata faida zaidi.. Hapo halitoki litazidi kuoza
 
Uyo ni jini bahar hiyo bei mpaka inaogofya..lazima kuna mtego hapo
 
Ukiinunua hiyo mafundi magari wote wa mkoa unaoishi utakuwa una namba zao simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom