Inawaka vizuri ila inazimazima, hiyo injini unaweza ukaibadilisha ukafunga 3S ya Toyota Rav 4 inakaa vizuri tu
Wee unafikiri gari zote zinazotembea mjini vibali vimekamilika? Ukiona gari kumi ujue mbili ndio zimekamilika kila kitu
Haiwezi na sio lazima kulipa
Mtego utoke wapi mkuu hii sio gari yangu ya bei rahisi ya kwanza kuuza nimeuza nyingi tu humu mkuu Zanzibar spices analijua hilo
Mkuu Zanzibar spice njoo utoe ushuhuda
dah!! Mbavu zangu miye!!!Ukiinunua hiyo mafundi magari wote wa mkoa unaoishi utakuwa una namba zao simu