malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,638
Kampuni kubwa ya magari ya Ferrari imeuzwa kwa mnada product yao ya hali ya juu (latest), kwa ajili ya kusaidia walipatwa na janga la tetemeko kubwa lilotokea huko Italy.
Huu ni mfano mzuri wa kuigwa kwa makampuni yetu mbalimbali hapa nchini kuwa waonyeshe moyo wa dhati..
Gari hilo limevunja record kwa kuuzwa kwa mnada $7million sawa na zaidi ya shs 15.5 Billioni Tshs.
Jamaa hawa wali organize kila kitu wenyewe na kukabidhi pesa katika kamati ya kutengeneza upya makazi ya watu na huduma za jamii.