Duuh kweli dunia inazunguruka zamani tulizoea kusikia wanawake ndio wanadai Talaka ila Fresh ndio fifite fifite inayoongelewa kwenye katiba mpya
wagawane kwa usawa ila vingine ni vya jide kwa 100% kabla hajaolewa alikuwa ameshajijenga
wagawane kwa usawa ila vingine ni vya jide kwa 100% kabla hajaolewa alikuwa ameshajijenga
Unaleta ujinsia kwenye ukweli tulia bi mdogo!!
hahaha pumba na mchele zitajulikana huko huko mahakamani af suti uliyonipaga zawadi ipo au uliuza
Ipo mupenzi!!!
Hahahahahaaaaa!! Sipati Picha ingekuwa Gadna yuko mbele yako hata singi ungemsukuma nalo. Nimecheka sana.
Lakini mambo ya ndoa ndivyo yalivyo wangu yanapofikia hatua kama hiyo, kila upande unakuwa ukitaka kukomoa upande mwingine. Huwa halikwepeki hili.
Ova
Mahakama ndio itajuwa mgawanyo wa haki, nampongeza sana Gardner wanaume tunaonewa sana tunakufa na tai shingoni huyu ameonesha njia.
hahaha nishakuwa mupenzi tena basi nimegairi kuichukua lols
Nasubiri episod ya Nuhu kumfikisha kwa pilato Shishi Baby ili wagawane mali walizochuma.
You're very right, Gadner ana mchango mkubwa sana katika mafanikio ya Jide sema tu watu wanashindwa kuona! Gadner ni mtu wa watu... kwa maana ya networking! Ukaribu wake na akina Kusaga ulimsaidia sana na yeye kujisogeza karibu na watoa michongo hapa mjini!! Hizi networking za Gadner zimefanya mengi sana kwa Jide kuanzia redioni, Nyumbani Lounge hadi kwenye sponsorship za hapa na pale! Atakayekataa mchango wa Gadner ni yule tu ambae hafahamu biashara za hapa mjini zinaendaje... kwa msanii unaweza kuwa na kila kitu lakini usipokuwa na watu wenye network wa kuweza kukupa back up, then you're done!Namuunga mkono G Habash kwa 100% hawa wanawake wanatuonea sana ni kichaa peke yake asiyejuwa mchango wa G Habash kwenye mali walizochuma ndani ya ndoa na hakuna kisingizio cha kutogawanywa mali maana hawana watoto, wangekuwa na watoto tungesema mali ni za watoto.
Cc Pasco si haki itendeke tu bali ionekane imetendeka.
Kwa sheria za serikali hapo haijalishi labda kama mwamuzi atakuwa kanisa!!hajamuoa