Gardeners corner: For flower lovers

hongera kwa kazi nzuri. kuna madhara kwenye ujenzi ukifanya hivyo. uwezo wa ukuta kupata fungus ni kubwa sana
Hayo ni majani makavu yaani hayana utomvu na hayana mizizi, kinachofanya yajishike ni vinyweleo vikavu vidogo sana kama miguu ya washawasha, haya majani yanaota upande wa ukuta wenye jua hivyo kuufanya ukuta kwa ndani usipate joto, ni sawa na nyumba kuwa chini ya mti.
 
Ni hapa bongo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…